
Helloo mesherz,, Na hope mko fiti 👊 Najua in life,,kila mtu hukua na a certain person mwenye ana admire juu kuna vitu ame achieve zenye wewe uko kwa hiyo safari ya ku achieve,,yaani role models,,, Na wangu for the longest period of time amekua DJ B,, Na ndo maana niliamua kama artist,,kuunda art yenye ita appreciate vitu zenye ame achieve in life na pia efforts zenye yeye hu put on a daily basis ndo plartforms kama hizi ziwe available kwa ma yuts,, Ndo maana nikaamua kucome up na design -it's an aggressive Tiger head,,(To show his courage na bravery ya kupigania mambo ya ma yuts na pia kusaidia wasee wengi in different ways) Juu nyinyi ni family nimeamua kushare na nyinyi ndio atleast mnisaidie kumfikia Here are the pictures of the design 👇


