Hellos Youthman Niko na swali kwa issuena transport,kwa youth mwenye ako na ambitions za kuanzisha a refilling stations size zenye tunazionaga mtaa/mashinani 1.afaa kua na capital Kama ngapi 2.Ni vitu ngani zingine afaa kujua ama kua nazo 🙏
0