
Hello,So Tawi . Alisema kuhusu Chumz saving. Nika try kusave nao. So nlikuwa nmefikisha 1200/-. So leo nmepata Emergency kujaribu kutoa wanasema wananipa 800/- ju ya penalty watakata kitu pia . Then wanakata transaction 30. So napewa 770/-. Then zina take 48hours . Weeuh!! Kimeniramba

0
0
0