Hellow?hustle yangu ni ya mandazi...mimi huuza kwa mtaa na ingne nasuuply kwa duka,mimi hutumia jiko....na jiko huwa inanipeleka slow ju customers wangu wengi ni wanafunzi,sa by the time naasha jiko nipike time imeenda wameleft.Issue ingne ni mafuta,hiyo nayo inanipeleka mbio ata siwezi weka savings,ndo nimeanza hii biz.nlikua naomba usaidizi wa fuel,like nipate gas na mafuta......nikipata gas wale customers wangu students sitawapoteza.....naweza saidika?
0
0
0