
Helloz guyz frankline is my name...corona kusema kwel imetupiga sana but tunahope all to b wel soon.niko voi na huku ma youths wamekuwa idle Sana pamoja na wale ambao job zao zilifungwa na honestly speaking social evils have gone high..street fights,drug abuse ,sexual misconducts n so on...me imebdi niongee na maparo nachapa ma coaching house to house
0
0
0