
Heloooo my fellow Chefs, Leo nadai tubonge kiasi kuhusu biz ya "OUTSIDE CATERING" Kufungua hii biz inarequire vitu kadha.Capital breakdown yake ambayo ni kitu muhimu sana ni hivi roughly;
- Catering equipment – Ksh 100,000
- Business licenses – Ksh 15,000
- Branding and marketing – Ksh 20,000
- Food stuffs and ingredients – Ksh 30,000
On top of all this nadai tuchapiane pale comment section hii biz inaweza wok aje na what else is needed #FormNiKujengana #Mesh4LIFE
0
0
0