
here are 3 business success tips off all time😇zenye zitakusaidia kukeep up na the trending market wewe kama retailer ama hawker.
1.Be informed .atleast kua unasearch kwa internet vitu zisikupite upate ujui ni nn mpya kwa field ya bizna
2.choice maker..jua what benefits yiu most kwa the trending market and what does not to avoid disappointments.
3.share your views...many minds make great ideas ni poa kujua mwenzako anafeel aje kuhusu something atleast hio ita act kama review kwako.
0
0
0