
Here are 4 quick tips zenye zitakuasaidia wewe kama mtu wa biashara kucreate good customer interaction which is helpful kwako kama mtu wa biashara
1.be patient na customer as u try to give him or her ur opinion on a product
2.answer their questions. hii ni part of business feedback and even ask them their view on certain things kwa bizna yako itakusaidia kupata ideas
3.always be friendly .hii unaeza fanya kwa kutumia a friendly tone kwa customers and great facial expression
4.be grateful and appreciate them unaeza ata wapea after sales services kuwa encourage kurudi tena .
0
0
0