
Here are some 8 quick tips unafaa kuconsider before uanze any business;
1.capital _hii inaninvolve the cost ya kuanza biashara eg buying the products.
2.Targeted audience _for the business to have sales lazma ukue na audience ama customers umetarget to avoid poor sales yenye itamake bizna yake isigrow.
3.legal procedures -hii ina include kuobtain licence na pia taxation incase kukue na business inspection kisikurambe.
4.location. place unadai kuset up bizna yako inafaa kua accessible kwa customers wako.
5.nature ya business_lazma ujue kama the business ni ya kuoffer services kwa watu ama ni merchandise .
6.risk_kila business ukua na risks na challenges zake so lazma utry kuzijua ili incase ihappen ujue venye utasolve the issue.
7.competion available_when starting a business lazma ujue pia kuna competition so uresearch on the how u can make your business stand out eg may be kuoffer after sales services na pia kuimprove quality of service ama products..
8.business plan_this helps someone to get an overview of the business coz inakuanga na summary ya the budget to start the business,management,products ama services offered etc.