
Here are some cheap way unaeza preserve your food kama hauna fridge. Kumbuka Njaanuary is a long way to go and every food matters ☺. 🍅 Canning; hii nayo ni old method ya preserving cooked food to kill bacteria and una seal until ukuwe ready kuikula. SO next time uko na excess food and fridge haiko we can it for later. 🍅 Drying; hii ni easiest method and inakuwa applicable sana kwa cereals hadi certain meat ama fish produce like Omena . 🍅 Smoking; Hii pia ni another best and easy way ya ku preserve meat and fish. Our friends from Maa ukuwa na clever and creative ways of doing this. 🍅 Salting; Hii unaeza tumia ku preserve Nyake, Fish pia vegetables. Simply coat food yenyewe na salt and ina work poa ku prevent bacteria growth.
Happy New Year and remember to keep it Mesh ndio #Tujijenge na tips fiti fiti hii mwaka. Kama uko na more ways share na sisi.

