
here are things to consider before ununue stock ya business yako for example stock ya duka,book shop ,mama mboga pia.
1.durability ya product..if ni easily expiring it is better u buy in small amount but kama iko na durability ucan buy in bulk.
2.demand kwa market..kama iko na market mzuri u risk and buy it atleast itaenda haraka na trending demand unlike kununua kitu haina market ikae kwa shop ama kibanda .
3.profit.kuna some products ukua na harasa sana but some u buy at cheaper prices and later unauza unapata profit mob.
4.your audience...for example if unarun business ya mboga depending on what has more sales for example kama customers wako most upenda mboga kienyeji u add more of that.
Tuchapiane zingine kwa comments zenye zinaeza tuzaidia kama meshers