
Here is a breakdown of what is needed kuanza biz ya kibanda and where to get them na bei: Sufurias(Gikomba)@5002= 1000 *Heavy pan(Juakali)@1000 *Jiko(Juakali)@2000 *Plates, spoons, Cups(Kamukunji)@500 *2 bences&Table( Gikomba)@1500 *Beans- Kwa soko/ Nyamakima@140/= per kilo *Unga Ngano- Wholesale shop@180/= *Milk (Milk atm) Your desired amount for the day *Makaa- If possible, shikana na msee mnunue gunia. It will be cheaper than buying daily. *Miscellaneous- Hii ni doo ya emergency kwa biz. Hapa ndio utalipa kanjo ama ata kubuy maji. *Rent- I'd advise for starters you sell by the roadside to avoid spending too much on rent. If not, kuna vibanda poa ata za 2K Total inakam roughly 10K. Hii do inaeza rudi triple ukiwa na bidii.
Tips zingine ndo hizi: *Tafuta location fiti kama kwa Universities, mjengo, bustops ama sokoni. *Kuwa na business plan. Set goals and work towards them. *Offer something new & unique. Hii market ni competitive. Ukiweza, weka carrots kwa chapo kukaribisha customers. Weka spices kwa beans ikuwe tamu warudi tena. *Start small. Usipike food mob ukianza to avoid incurring losses. Pika kiasi yake then add as you go. *Kuwa msafi, usijaze vyombo chafu kwa biz. Pika food safi na space yako ikuwe clean kila time. *Be reasonable with pricing. Wengine wakiuza chapo 20/= we uza 15/= to welcome customers. *Be your #1 customer. Sell something that you would eat yourself. Same applies to pricing and customer service.
By doing these, biz yako ita flourish within no time. All the best Dennis!
