
Here is how I am preparing my chai lately,
Chemsha maziwa weka kando-
Chemsha maji, Tea Leaves na Shuge-
Acha ichemke kabisa then sasa add maziwa then ichemke tu kidoooogo.
Try hii method am certain you'll come back hapa kuninunulia "chai" 😉

0
0
0