
Hey barnice first of all ku start biz ya mpesa all you need ni pesa ya float na dooh ya line and a simple place ya kueka mpesa shop Mpesa line can cost 3k ukibuy kwa admin then uanzw na float ya like 50k ku avoid wale scammers uibiwa wasee kwa mpesa agents Also unaezaeka another business kando na mpesa enye itakusaidia ku run pewa juu ya stry na kupeana change and u make sure mpesa float yako always iko loaded that is ikiisha unaenda una deposit immidiately Another thing you should create good customer environment unafaa kua friendly na wateja wako juu the more the customers the more the commision juu mpesa mtu analipwa na commision and remember for you to keep those customers you have to be friendly nao na pia unafaa ku create trust na some customers pia Another thing you should also adhere to the terms and commisions za watu wa safaricom juu pia hiyo inaezalead kwa line yako kufungwa in that you should not deposit for your customers mwenye ako mbali na shop yako juu kuna wale customers upiga simu wakiwa mbali uwaeke pesa hence hiyo utakua ume go against the rules and regulations za safaricom Another thing you should be more careful ukipewa pesa juu kuna customers upeana pesa fake na inaezalead kwa wewe ku loose some money so unaezabuy kale ka bulb ka kuangalia pesa that goes for 500 ueke kwa shop yako just in case customer akuletee pesa fake utakua gangari na scammers success