Hey everyone! Aki sijui penye niko ndio kila kitu imepanda 😢😢😢😢until naona nikifunga business yangu ya mayai coz price ya kuchukua nayo iko juu sanaaa