
Hey fellow meshers, I hope nyinyi wote mko fiti? Mi hufanya hairdressing services at very affordable prices. Niko based Umoja 1 hapo karibu na market. Incase unataka kuinquire any style call me on 0790686302. Na pia , mi hucrotchetia madem bikinis, skirts na vitu fancy. Reach out to my number to know more about services of your interests! Thank you na mmekaribishwa sana.

0
0
0