
Hey fellow Meshers. Naombeni kuuliza jameni is cover letter the same to normal application letter? Tofauti ni gani kati ya zote mbili,na kwa nini most potential employers nowadays wanaitisha cover letter? Yaani naomba kujua mengi jinsi ya kuandika hiyo cover letter. Nitashukuru
0
0
0