
Hey guys,,am a shopkeeper ...nimeskuma hii biashara kwa miaka moja sahi but sahi I just wish to change my line of business to the transport sector at least ..coz kuoperate n venye vitu zimeongezeka ..profit sahi n duni...profit hutoka poa ukichukua vitu in bulk ndo unaeza pewa quantity discount ..advice
0
0
0