Hey guys chungeni sana mascammer wamefika huku😶 mtu anakutumia number inbox na anakuambia mchat Whatsapp, mkifika Whatsapp anakuambia lipa 499 upate loan🤣🤣 ni wajinga sana