
Hey guys...I'm back with some other shoes but guys please please mimi nakuja hapa kuhustle so msee kukuja then unaorder kiatu from me alafu unaenda missing during delivery ama nakuambia mode of payment unaanza kuongea vibaya I don't appreciate that...I work hard to satisfy my customers so please please a little respect is appreciated.. Anyway hizi za Leo ni za ksh2800


0
0
0