Hey guys, nilikua n business ya kufunga kuku but after kuuza Mara moja wale wakubwa wote waliingiliwa n ugonjwa wakafa, Sai io doo ya kuanza business nyingine Sina MN zile doo niliuza nilishikwa n emergency, please naomba mnisaidie kimawazo which hustle ni better
0
0
0