Hey guys. Unaeza taka kufanya biz ya kuku ama Mayai. Haiitaji vitu mob. Ni nyumba size si kubwa sana then vifaranga. Here is how have done it before. I bought 130 one day vaccinated chicks at 100bob each.For start then nikaenda nikiogezain bits. Then unanunua chick mash. Kuna feeding template ya hizi kuku how much food kila chick inafaa kula. Then you bring them up polepole. Note that if you want to be successful cleanliness is not an option here. This chicks will mature in 3 or 4 months kama ni layers Mayai unaanza kupata. Each day atleast 90 eggs that's 3 creates. The others cost hapa katikati ni vaccination na boosters na biz ichangamke. Had around 400 chicken 40 cocks nimepiga sales sometimes back and am going back into it Sasa. Was getting like 35k monthly from this side hustle ukitoa expenses nabaki na kitu 20k. Maize nabuy prices zikiwa low na supplement na layers mash. Na increase profit. If uko na idea vile naeza jiboost nipee hio idea. Nitaongezea na jiiinue loan nione kama naeza fanya large scale.
Hizo houses you do some wiremesh ndo airation ikue Sawa.


