
Hey guyz am new to mesh but I hope I'll get an aspiration to proceed in life after school. Nataka advice,natoka port Victoria in Budalang'i home kuna omena Safi Kwa wingi and then kuaccess samaki si noma. Issue ni market ya nje....advice majamaa ama tunaeza saidiana vipi nisupply mazuri tubalance after sale ama nikue supplier
0
0
0