
Hey hey ππ wassup π wazito wangu wa power πͺπͺ kama kawaida #welcome to Brian's Health Corner ππππ₯πππ₯π₯¦π
Last time tulichanuana about #vile AI imesaidia wasee wengi kumarket biz zao but leo nataka nikutupe straight kwa #health yako kiasiππ
so leo nadai nikuchapie kitu moja unafaa kujua kama msee wa bizπ€
- before uingie hio biz Pray 2.before uanze siku Eat
- after day imeisha Give thanks
so point yangu iko hapo kwa #kula,, ndio upate energy ya kuongea na customers na pia kuplan biz yako vile inafaa,π―π― ukiwa na shugli unadai Chef pia usiogope kureach out to me π€π€ tupatane comment section mkinijenga hio hustle ππ

0
0
0