
Hey,hii idea ya kusupport wasee wenye tulirudi nyuma kwa bizna ju ya pandemic ya covid 19 ni poa sana atleast unapea wasee courage ju kuna wenye waliingia loss na job zikaishia tu ivo ju ka mzigo ikiharibika hadi pesa ya mali natoa wapi? Of cause akuna ntabaki tu kuranda na ukicheki sai c rahisi kuget msee aku employ...so am looking 4ward kuendeleza bizna yangu na i doo yenye ntapata...#together we can rise.
0
0
0