Hey I'm Fred.... Hapa shally anaeza ongeza mandazi ndio wasee wakipata Ile kahawa ikiwa moto wanasukumia Na andazi juu Samos hukua Na taste Fulani MTU anaeza Kula bila anything. Alaf aongezee smokie Na Chapo aeze kuroria wasee inakuanga Tamu Sana. A rich out Na wasee kadhaa Kaa vile anaeza angali place vijana hupita wengi ndio aweze kupata customers kadhaa waeze kumaliza stock. Asikae point moja akitegemea customer already ameingiana. Akue na roho safi ya kusave customers Na aweke attitude kado akiwa Kwa biz. Juu Kuna wasee wanakua Na roho ndogo Sana. The asingatie usafi Kaa kawa ndio asilose points juu watu huangalia hiyo Sana. Akipata smokie inafanya poa anaeza ongeza sosage pia Biashara ikisonga ikinoga saidi anaeza ongeza mayai Na atengeneze kachumbali saidi Na Tamu ndio wasee waipende saidi.... Akieka hizi staff zote atakua Na faida poa Hadi afungue base yake itakua normalised wasee wanakua hapa ukienda huezi kosa. Kahawa,samosa,smokie,sosage,Chapo roar Na mayai boiled.
