Hey manze nimewai kuwa coned online na msee alinichocha Kuna job online ya kupata doh kila wiki af mi naye ni Nan nkatuma coz sikua na job kumbe niliambulia patupuu manze hizi kazi ni scam na wengine ni conmen
0