
HEY MESHERS? BÌZ TIP KWA COMRADES. Ni vigumu kustudy ukiwa unapiga job inataka full attention. So mi kama comrade niliamua kupiga hustle yangu online na kuwa genuine kwa clients ndio nipate trust yao. Remember clients ndio boss wetu. Tunawapa first priority. Online kwa kupost my products na kupata clients online ni rahisi na hata unaeza hustle ukiwa class. HOPE NIMEJENGA MTU KIMAWAZO

0
0
0