
Hey meshers hii ndio hustle yangu nilianza na 500 nikabuy kitunguu pekee, nikiuza naongeza mboga ama nyanya, though ndio biz inagrow am trusting the process. SA I nauza nyanya and vitunguu pia in wholesale. Am in Nanyuki Don't underestimate your small beginning just Trust God and undelete kutia bidii

0
0
0