
Hey meshers ..mi huchapa hustle ya kubroke manguo nasaka partner alafu namletea clients napata hio kidogo imekuwa struggle but since napata hio kidogo inanisukuma nadai nisave save alafu nipate kakitu nianze hii biz na stand yangu Ningetaka kusaidia mayuts kwa biz ama any yutman mwenye amerelax apo akidai akuna hustle unaeza chukua hii kama idea
Alafu pia mm ni stude nakaza tu na life though sometimes n tough na pia napiga content pale YouTube at times
0
0
0