Hey meshers Mimi ni mkulima based in Nyandarua county this year nilikua nimepada viazi na according to the market na prices zenye wananunua nazo haziingizi kitu kwa mfuko azin hazileti faida yoyote so kama Kuna msee Ako na soko I erge you plizz mniconnect coz viazi zangu zimeanza kuoza

0
0
0