Hey meshers, my hustle ni hapo Twitter. Na mek doh through pushing tags nikipewa gigs na kampuni ama brands tofauti nifanye advertisement. Pia wewe unaweza changamkia, first task niku create account ya Twitter then tafuta a lot of followers and ad jobs will come your way.

0
0
0