Hey meshers. Nadai kujengwa na idea kwenye n nitapata suppliers ama distributors affodable juu naplan kueka wholesale shop ya inga,Michele,sukari etc..niko kiambu