
Hey Meshers, Nlitake a risk nikabuy irrigation equipment kama pump na hose pipes za kupump maji from a local river. It's tiresome but I hope itakuwa na profits coz I'm targeting the dry periods ndo home tanks zikiisha maji Wasee watadai maji, nawa pumpia at a cost and at the same time Nisha Anza farming kidogo kidogo. Who's into farming guys?




0
0
0