
Hey! Mimi ni content writer na marketer mwenye huongeleanga tu kutengeneza dooh online! Huongeleanga kuhusu opportunities available na vile zina work. Then kama umeget interested, na kurefer kwa opportunity fulani ivo! Then ukiishi, na mimi pia naishi!
So kaa huna biz, nakuconnect na yangu moja. Na kaa unayo unahitaji ijulikane zaidi, mimi ndo yule nakuandikia blog articles kwa wale wako na blogs ama websites. Website yangu ya kazi zangu zote ndo hii https://teamhustles.simdif.com Mimi ni Team Hustles for life; tupige kazi hii wikend!

0
0
0