Hey, Naitwa Tony, a freelance content writer. I run a website, bahymomplug.com. Besides kuandika, huwa nafanya job ya sales, kuuza loans, etc. Nmekua nkitaka kuanza biz ya clothes ya ladies na watoi, but capital ni noma, given that sijamonetize website yangu na kupata writing gigs ni hard. About job ya sales, Niko na mjunior, mamaa, na bro ako high school. So hio salary ya sales huishia kwa bills. Naeza pata wapi capital ya kuanza biz on the side? I can't sell the website coz I want to use it for affiliate ikiattract traffic kibao?
0
0
0