
Hey! Niaje MESHer,s. Mi naitwa @[Adelaide Qerubo] Nilikua nadai kuuliza kaa Kuna msee yeyote hapa amewai fanya biz ya mayai na smokies aniambie vile iko
Disadvantages zake na Advantages... Nafikiria kuanza biz but nashindwa nifanye gani. Please help.
0
0
0