Hey #team_shujaaz_biz, business idea
- Kuuza mayai boil na smokie
- Kuunda mutura
- Kutembeza boxers, vest na socks
- Kuunda kibanda ya kuuza suup ya miguu ya ng'ombe
- Kuunda detergents na kutembeza house to house. (Kwa wale wamependa biz ya mayai most places ya kuuza ni karibu na club) Anybody mwenye amejaribu tuambie challenges kati ya hizi iwapo umefanya.
0
0
0