
Hey there wana-MESH.
So business idea ya Leo ni POD. (Print On Demand) Hii ni biz unahitaji capital ya less than 2k. Una-need tu ku-design T-shirt kwa comp ama laptop ikibidi visit cyber. Look for creative pics kwa internet zenye unaeza print kwa T-shirt, bag ama kwa hoodie then u-post kwa social media platforms zako. Customer akiwa interested atakuchapia uchukue order then unaenda u-buy a plain T-shirt ,pea msee wa ku-print ata-charge like 300 bob then deliver the order. Hii inaweza?
0
0
0