
Hey wasee,Mimi ni mwalimu wa physical education,nilimada chuo last year University of Eldoret, Nimekuwa nicoach kids under 15 some game inaitwa baseball5 since 2020, tumekuwa lucky kuwin national championship twice,naeza pia funza other subjects in school Kama histoo,Niko na tsc number already,so nasaka job mazee,any leads I'll appreciate
0
0
0