
Hey wasee wa mesh,me nilikuwa nawork kwa hospital before covid but venye covid ikikam salary ikakuwa slashed and we were forced to on unpaid leave kwanza hadi saic nko jobless.Venye nilirudi mtaa nikaamua kuanzisha poultry farming na iyo savings kidogo nilikuwa nayo,nilikuwa na kuku 10 but saic farm iko na over 200 kukus.Hustle imekuwa fity kupita time nilikuwa employed,asante sana mesh connect kwa kuanzisha hii platform 🙏🙏
0
0
0