
Hey,woshy anafaa kukua intelligent hapa juu hii capital iko chini 1.anafaa kufanya uchunguzi Na kubainisha baadhi YA slides watu Wa sehemu yake wanapenda Sana 2.Anafaa kutafuta wanunuzi waaminifu Na aanze Na kuuza Na Bei nafuu yenye wananchi wa kawaida wanaeza miliki kikamilifu
3.woshy anafaa kutafuta slides zenye zinawavutia wateja hii itafanya watu wazipende Na kuzinunua 4.woshy anafaa kutumia mitandao YA kijamii kueneza bidhaa zake hii atapata wateja Zaidi 5.woshy afanye bajeti Kwa ubunifu hili kuepuka kununua vitu si za manufaa Sana 6.woshy anafaa kukuwahudumia wateja vizuri kupitia hii njia atawafanya wateja kumpenda Na kupenda bidhaa zake
Atumie akili kikamilifu ataweza fanikiwa Sana
0
0
0