
Hey Yoh! Creatives. Looooooong Weekend. They say, averagely u take 2 to 3 days ku finish 500 page book. With hii time unaeza sharpen ya creative mind and pia ways za ku make bucks. Recommendation za books safi zikuje. Zenye zinaweza help kutengeza skills za kuunda doh ama kutupea skills za ku start a new venture. My favorite ni za Stephen Covey "The 7 Habits of Highly Effective People" na pia ile ya "The 7 Habits of Highly Effective Teen".
Weka recommendation ndio kama kawa #Tujijenge

0
0
0