
Hi all naitwa Alice . Am a mobile saloonist located in kiambu. Me hufanya braiding twisting retouches dreadlock starts . My hustle is really affordable juu me hulipisha lowest 300 and highest 2500 depending on the job done . Kukua mobile ni kinda stressing but hukusaidia sana kukua free na pia kujenga customer relations. My job imesaidiwa sana na refferals from clients .my dream is to own a salon but hua simind pia kufanyia kwa salon ya mtu ka ameniajiri. Kila mtu ako welcome and I offer first time discount price for any new client. Karibu I sana
0
0
0