
Hi everyone
Nilikuwa naomba advice yenu; mi ni youth still a student, nilikuwa nadai kuanzisha bizna ya juice na chips juu nko na single fryer na blender..
So swali ni ;
-
naweza anzisha hii business na dooh ngapi?
-
Na Nini nafaa kujuwa wakati naanzisha hii business ?
-
Requirements apart from hizi machines nko nazo?
0
0
0