
Hi everyone,so I have a sister mwenye alifanya food production pale Utalii college akagraduate 2020 ,amejaribu kuapply jobs the whole of last year mpaka waleo but hajapostiwa any where,ameitwa interviews mob but still no employment,so I was just requesting kama kuna mse any ataskia any job opportunity mahali ama kama anyone anataka kuhire a food production specialist just help out juu the economy is kind of tough.
0
0
0