Hi friends...yangu Ni machache tu" when it comes to starting a business,most of us youths huwa tunatend kusingizia lack of enough capital but in real sense haijawai kua hivyo....sisi mavijanaa ndio tunataka kuanza biashara kubwa at once, of which sio mbaya.but Kama hauna Doo enough ya kustart,you can just Start small,then act and grow big...for instance inaezakua unataka kuanza biz ya like 20k,but hauna, the least you got Ni 3/4 gees...you can decide to just purchase a few products to kickstart the biz then always keep in mind "Discipline is key to growth of your business" keep proper records,don't mix pesa ya biz na Ile yako coz hautajua ukienda loss kwa biz na unaeza risk kuangusha bizna....for example,my biz sai nikataka kuuzia mtu haiwezienda chini ya 400K, and I started it 3Years ago with just 5K...🙆🏾♂️