
Hi guys. Aki me im so stressed juu biz ya mine ili burn yote and all my work tools za kuuza nyama, ziliisha zote. Sahi sijui nitaanza wapi , sina mbele wala nyuma. Kuanzia fridge, na vitu zote za kuuza nyama zili burn zote. Nitaanznia wapi aki? Nilikuwa na savings kiasi but haiwezi tosha kununua hizo vitu. I really need your help. Im going insane. If i can get just some funds aki nitashukuru sana. Im hopeless. Mesh pliz niokoleeni.
0
0
0