Hi guys,am Erick na mimi ni Fundi wa electronics,nko na idea ya kuenda technical college nipate certificate yangu then nirudi nifungue workshop yangu alafu niwe nikifundisha wengine ambayo wako interested na kazi ya electronics,,,,,,,,mnaonaje hiyo idea yangu????
0
0
0