
Hi guys hope kila mtu ako poa. Nililima last year na nikona mahindi 27 bags Migori. Sina market sai, na lock down imenifungiya Kiambu. Anyone knowing a good market anaweza nirecommediya naweza shukuru. Anyone can reach me via this no 24 hrs 0712850584 at affordable prices provided atanunuwa bags mingi nitanegotiate price. Asanteni
0
0
0